MSIKITI MPYA WA GHOROFA TAQWA-DARAJA II ARUSHA MJINI, Hatimaye Waanza Rasmi Kutumika Kwa Ibada, Baada Ya Kukamilika Kwa Sehemu Ya Chini...


Mwonekano wa sehemu ya mbele.




Upande wa nyuma



Muumini akichukua 'udhu' tayari kwa ajili ya ibada ya sala. Mbele ya kijana anayechota maji kwenye ndoo, ni milango miwili ya vyoo vya wanamume; na upande wa pili wa vyoo hivi kuna vyoo vya wanawake. Upande wa pili wa ukuta anakochukua 'udhu' muumini huyu, ndipo sehemu ya kuchukulia 'udhu' kwa wanawake. Mwanzo mgumu...  



Sehemu ya waumini wanamume katika mojawapo ya sala. Hii ilikuwa ni siku ya Idd el Fitr.





Sehemu ya waumini wanawake.



Wanawake wakitoka msikitini baada ya sala



Mmojawapo wa waumini, Kassim Mawe 'baba AbdulMalik' akiwa katika pozi la raha ndani ya msikiti huu.




Umati wa waumini wanamume wakati wa ibada ya sala ya Idd el fitr wakiwa wakiwa sehemu ya juu ya msikiti inayoendelea kujengwa, baada ya wao kukosa nafasi sehemu ya chini iliyokuwa tayari imekwishajaa waumini tele...

 

  

Utamu wa usingizi... hapa naamini mijipanya inashangilia kwelikweli kwa kuupata uhuru wa kutamba na 'kutanua' kwa kadiri wawezavyo, hadi pale 'jamaa' litakapoamka...


Jinyau limedozi...

Arsenal, Man 'U' na Liverpool zashinda.... Chelsea yavutwa 'shati' ugenini... Man C uwanjani leo..




                  J’MOSI-29/11/2014

West Brom 0 V Arsenal 1

Burnley 1 V Aston Villa 1

Liverpool 1 V Stoke City 0

Man United 3 V Hull City 0

QPR 3 V Leicester City 2

Swansea 1 V Crystal Palace 1

Westham United 1 V Newcastle United 1

Sunderland 0 V Chelsea 0

Kitu 'kambani' Danny Welbeck wa Arsenal

Robin van Parse na Whyne Rooney  wakishangilia moja ya mabao waliyoipachikia timu yao ya Man United dhidi ya Hull City




Kula hiyo.. Diego Costa wa Chelsea akionesha ishara ya kulalamika huku mwenzake  Cesc Fabrigas akijongea karibu wakati mwamuzi akionesha kadi ya njano. Sunderland 0 V Chelsea 0



 

                         J’PILI-30/11/2014

Southampton 0 V Man City 3

T.Spurs 2 V Everton 1

EPL...




                  J’MOSI-29/11/2014

West Brom V Arsenal

Burnley V Aston Villa

Liverpool V Stoke City

Man United V Hull City

QPR V Leicester City

Swansea V Crystal Palace

Westham United V Newcastle United

Sunderland V Chelsea

 

                         J’PILI-30/11/2014

Southampton V Man City

T.Spurs V Everton




 NA
   TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Chelsea
12
10
2
0
30
11
19
32
2
Southampton
12
8
2
2
23
5
18
26
3
Man City
12
7
3
2
24
13
11
24
4
Man United
12
5
4
3
19
15
4
19
5
Newcastle ‘U
12
5
4
3
14
15
-1
19
6
Westham ‘U’
12
5
3
4
20
16
4
18
7
Swansea
12
5
3
4
16
13
3
18
8
Arsenal
12
4
5
3
20
15
5
17
9
Everton
12
4
5
3
22
19
3
17
10
T.Spurs
12
5
2
5
16
17
-1
17
11
Stoke City
12
4
3
5
13
15
-2
15
12
Liverpool
12
4
2
6
15
18
-3
14
13
West Brom
12
3
4
5
13
17
-4
13
14
Sunderland
12
2
7
3
12
19
-7
13
15
Crystal Pala’
12
3
3
6
17
21
-4
12

Yaaaaaani Chelsea ni mbele kwa mbele... Arsenal yabonyezwa home; mashabiki wa Man 'U' hureeeeeeeee... Yaya Toure aibeba Man City nyumbani... Barcelona yapiga 5 nyumbani; Real Madrid yapiga 4 ugenini...Liverpool MAJANGA matupu; yanyukwa taraa...




                  J’MOSI-22/11/2014

Chelsea 2 V West Brom 0-Stamford Bridge

Everton 2 V Westham United 1-Goodison Park

Leicester City 0 V Sunderland 0-King Power Stadium

Man City 2 V Swansea 1-Etihad Stadium

Newcastle United 1 V QPR 0-St. James Park  

Stoke City 1 V Burnley 2-Britania Stadium

Arsenal 1 V Man United 2-Emirates stadium 

Wachezaji wa Man 'U' wakimwangukia kwa furaha Wayne Rooney baada ya kupachika bao la pili la ushindi dhidi ya Arsenal ndani ya Emirates Stadium

 


Twende kazi, wakwetu... Yaya Toure akiiandikia Man City bao la ushindi dhidi ya Swansea

 

                          La LiGa-Spain

Eibar 0 V Real Madrid 4

Barcelona 5 V Sevilla 1

Atletico Madrid 3 V Malaga 1

Soma jina mwenyewe. 




Ni kupiga mabao tu hadi mumjue vema C. Ronaldo katika ushindi wa bao 4 ugenini

 

                         J’PILI-23/11/2014


Crystal Palace 3 V Liverpool 1-Selhurst Park

Hull City 1 V T.Spurs 2-The KC Stadium

 

                         J’3-24/11/2014

Aston Villa 1 V Southampton 0-Villa Park