Mwonekano wa sehemu ya mbele.
Upande wa nyuma
Muumini akichukua 'udhu' tayari kwa ajili ya ibada ya sala. Mbele ya kijana anayechota maji kwenye ndoo, ni milango miwili ya vyoo vya wanamume; na upande wa pili wa vyoo hivi kuna vyoo vya wanawake. Upande wa pili wa ukuta anakochukua 'udhu' muumini huyu, ndipo sehemu ya kuchukulia 'udhu' kwa wanawake. Mwanzo mgumu...
Sehemu ya waumini wanamume katika mojawapo ya sala. Hii ilikuwa ni siku ya Idd el Fitr.

No comments:
Post a Comment