EBWANA EEE!!

Mwenyewe anasema yeye ni mwanafunzi wa darasa la kumi! Sasa hebu cheki hili pozi lake! Ni pozi la hatari! Hata sijui hapa ni kwamba anasubiri kupigwa picha, au anataka kuanzisha varangati kwa yeyote yule atakayesogea mbele yake!!


No comments: