Ukishakuwa wewe ndiye mkubwa, basi ujue wakati wote kazi ya kumlea mdogo wako ni yako, hata kama mdogo wako mwenye ndiye kama huyu anayekudekea kupita kiasi kama hivi! Lakini wakati mwingine unampa kwenzi mbili 3 za kimyakimya za kumweka vizuri kwenye mstari ili asikudekee saaaaaaaaaana.
|
No comments:
Post a Comment