Siyo mpaka daktari akwambie. Njoo mwenyewe ujichagulie! Mfanyabiashara wa matunda na mwanasalamu maarufu nchini, Baba Ally M'bondei akiwa pembeni ya moja ya meza zake za biashara ndani ya soko maarufu la Kilombero, mjini Arusha. Inaonekana msimu wa machungwa ndio unaisha sasa.
|
No comments:
Post a Comment