NGARENARO-ARUSHA

Ni mchana, jua linawaka kisawasawa. Mpiga picha Twaha na swahiba wake, Sadiki, wakiwa wamejipumzisha chini ya mti maeneo ya Ngarenaro, jirani kabisa na kona ya Nairobi, kwenye barabara Kuu ya Arusha-Dodoma hadi Mwanza. Kumbe hata mpiga picha naye huwa anajiandaa anapotaka kupigwa picha!


No comments: