UJAMAA; KIJIJI CHA OLJORO

Ni eneo lililopo katika wilaya ya Arusha Vijijini, kwenye barabara kuu ya Arusha-Kiteto, jirani na Mirongoine...

Hii ni ofisi ya Kijiji. Waheshimiwa wako ndani; Mpini Wa Shoka unachukua picha kwa nje.





Kanisani: ibada inaendelea






Mambo ya vijijini hivi ndivyo yalivyo! Unaliona goli kwenye uwanja wa mpira wa miguu




 

Shule ya Msingi







Mifugo kijijini. Karibu sana kitongoji cha Ujamaa katika kijiji cha Ojoro. 



No comments: