 Sagulasagula; wateja na wauzaji wakiwa wamechanganyika vilivyo...
Sagulasagula; wateja na wauzaji wakiwa wamechanganyika vilivyo...  Mambo ya 'msosi' nayo ni kama kawaida. Mwenyewe si unajionea....
Mambo ya 'msosi' nayo ni kama kawaida. Mwenyewe si unajionea....  Ndondo (Maharagwe) la njano-Soya
Ndondo (Maharagwe) la njano-Soya  Ndondo (Maharagwe) jekundu
Ndondo (Maharagwe) jekundu  Bidhaa nyingine zinateremshwa na nyingine zinapakizwa kwenye vyombo vya usafiri, na kusafirishwa maeneo mbalimbali...
 Bidhaa nyingine zinateremshwa na nyingine zinapakizwa kwenye vyombo vya usafiri, na kusafirishwa maeneo mbalimbali... Tatizo linaloonekana wazi ni kwamba, soko hili linahitaji kuboreshwa mno. Hebu fikiria, endapo mvua ya maana 'ikiteremka' vilivyo, hapa panafaa hata kutembea tu, achilia mbali kuuza bidhaa? Hii ni mojawapo ya barabara zinazolizunguka soko hili... Na wewe ukipata nafasi, basi Jumapili moja fika hapa ujinunulie 'msosi' kutoka kwa wakulima na wafugaji wa Monduli upeleke home.
Tatizo linaloonekana wazi ni kwamba, soko hili linahitaji kuboreshwa mno. Hebu fikiria, endapo mvua ya maana 'ikiteremka' vilivyo, hapa panafaa hata kutembea tu, achilia mbali kuuza bidhaa? Hii ni mojawapo ya barabara zinazolizunguka soko hili... Na wewe ukipata nafasi, basi Jumapili moja fika hapa ujinunulie 'msosi' kutoka kwa wakulima na wafugaji wa Monduli upeleke home.
No comments:
Post a Comment