DAH! Yaani ni kama zali vile; tumekutana tena ndani ya chama letu la jadi..!
 Baada ya pambano kumalizika, Wakongwe wawili wa Chelsea, mlinzi wa kati John Terry na mshambuliaji Didier Drogba ambaye amerejeshwa tena ndani ya timu hiyo na meneja Jose Morhino, wakibadilishana mawili matatu... Utu uzima dawa.
Baada ya pambano kumalizika, Wakongwe wawili wa Chelsea, mlinzi wa kati John Terry na mshambuliaji Didier Drogba ambaye amerejeshwa tena ndani ya timu hiyo na meneja Jose Morhino, wakibadilishana mawili matatu... Utu uzima dawa.   Vitu namna hii huwa ni adimu na ni vitamu kwelikweli dimbani. Alex mguu juu; Belleti kule...
Vitu namna hii huwa ni adimu na ni vitamu kwelikweli dimbani. Alex mguu juu; Belleti kule...
No comments:
Post a Comment