 Kutoka jijini Arusha, watoto (kuanzia kushoto) Sumaiyah Jigge anayesinzia, Shadya Jigge mwenye ua mkononi, Faidha Mustafa (aliyebeba mtoto) na Saad Abdillahi, hivi karibuni walisafiri hadi ndani ya Chuo cha Polisi (C.C.P) mjini Moshi mkoani Kilimanjaro kwenda kumpongeza mtoto mwenzao, Mahamba Amini Mujengwa (anayecheka katikati), baada ya kupata mdogo wake mpya (aliyebebwa na Faidha). Kwa hakika, wote walifurahi sana kwa michezo mbalimbali.

  Pozi kwa picha ya pamoja ya ukumbusho
Pozi kwa picha ya pamoja ya ukumbusho  Saluti kwa wanampini Wa Shoka wote kote duniani
Saluti kwa wanampini Wa Shoka wote kote duniani
No comments:
Post a Comment