LIGI YA MABINGWA ULAYA...Man City m'debwedo; yapigwa 'home' kwake... Timu iliyofungwa bao 6 na Chelsea, yagoma kudundwa tena; yakomaa kwa sare na Chelsea... Lionel Messi ang'ara Uholanzi...
                                      J’5 -05/11/2014
Athletic Bilbao
0 V FC Porto 2  
Paris St. German (PSG) 1 V APOEL Nicosia
0
Sporting Lisbon
4 V Schalke 2
Shakhtar Donetsk 5 V
BATE Borisov 0 
Ajax Amsterdam
0 V Barcelona 2 
Man City
1 V CSKA Moscow 2 
Maribor  1 V Chelsea
1 
Bayern Munich 2 V
As Roma 0
 Seydou Doumbia wa CSKA Moscow akishangilia kwa furaha mojawapo ya mabao yake safi yaliyoizamisha Man City nyumbani huku akitazamwa kwa hasira na mlinda mlango wa timu hiyo ya Mji wa Manchester
Seydou Doumbia wa CSKA Moscow akishangilia kwa furaha mojawapo ya mabao yake safi yaliyoizamisha Man City nyumbani huku akitazamwa kwa hasira na mlinda mlango wa timu hiyo ya Mji wa Manchester
 Sijui ni hasira, au ni kutokuamini kama timu aliyoipiga bao 6, leo imemgomea kabisa kumpa ushindi! Jose Mourinho, meneja wa Chelsea
Sijui ni hasira, au ni kutokuamini kama timu aliyoipiga bao 6, leo imemgomea kabisa kumpa ushindi! Jose Mourinho, meneja wa Chelsea
 
No comments:
Post a Comment