SASA MAMBO ZOSE NI HUKO Guinea ya Ikweta (Equatorial Guinea)




  ni nchi ndogo inayopatikana katika ukanda wa Afrika ya Kati, ikiwa na eneo lenye ukubwa wa kilometa za mraba 28,000

·Mji wake mkuu ni Malabo

·Rais wake ni Teodoro Obiang Nguema Mbasongo

Lugha kuu za kiofisi nchini humo ni Kifaransa, Kihispania na Kireno

 

** Morocco imefungiwa kwa mashindano mawili (FAINALI 2) za AFCON...

 

      IJUMAA’-14/11/2014

17:00
Sierra Leone 1 V Ivory Coast 5
18:30
Botswana 1 V Tunisia 1

     J’MOSI-15/11/2014

16:00
Angola 0 V Gabon 0
16:00
Cameroon 1 V Congo DR 0
16:00
Algeria 3 V Ethiopia 1
16:00
Cape Verde 3 V Niger 1
16:00
Mozambique 0 V Zambia 1
16:00
South Africa 2 V Sudan 1
16:00
Togo 1 V Guinea 4
16:00
Uganda 1 V Ghana 0
16:00
Lesotho 0 V Burkina Faso 1
16:00
Malawi 2 V Mali 0
16:00
Congo 0 V Nigeria 2
16:00
Egypt 0 V Senegal 1

Kwa matokeo haya hadi sasa, timu 7 tayari zimekwishajikatia tiketi ya kucheza fainali huko nchini Guinea ya Ikweta. Ni Afrika Kusini, Burkina Faso, Gabon, Cameroon, Zambia, Tunisia na Senegal.

No comments: