HIVI NI KWELI, ETI "Ukimwona Mwenzio ananyolewa, basi na wewe tia maji kichwani!"
Kijana Felichismi Fidelis Tarimo 'Baba Sharon' maarufu zaidi kwa vijana wengi wa Mji wa Arusha kwa jina la Felii (aliyekaa), akipata huduma ya kunyolewa na kinyozi Costa 'Baba Derick', kwenye Saloon iitwayo Chago...
Ujana kupendeza...! Ujana maji ya moto...!
No comments:
Post a Comment