EPL... Man 'U' wajitutumua; Van Parsie na Rooney waleta heshima nyumbani... Chelsea na Man City zagawa vipigo vya maana... Arsenal, Mh!.. LA LIGA..Barcelona ni hatari tupu... Real Madrid nayo yambonyeza mtu ugenini.... SERIAL 'A'...CARLOS TEVEZ aendelea kufanya mambo ndani ya JUVE...




                         J’MOSI-27/09/2014

Liverpool 1 V Everton 1 -Loftus Road Stadium

Chelsea 3 V Aston Villa 0 -Stamford Bridge

Hull City 2 V Man City 4 -The KC Stadium

Southampton 2 V QPR 1 -St. Mary’ Stadium

Crystal Palace 2 V Leicester City 0 -Selhurst Park  

Sunderland V Swansea - Stadium of Light    

Arsenal 1 V T.Spurs 1- Emirates Stadium


              Man United 2 V Westham United 1 -Old Trafford

Leo na sisi tumempata wakwetu; tumeua. Nahodha Wayne Rooney (10) na Van Parsie (20) wakipongezana pamoja na wachezaji wenzao wa Man U...


 

                                             La LiGa-Spain

Atletico Madrid 4 V Sevilla 0

                                   Villa real 0 V Real Madrid 2 

Christiano Ronaldo wa Real Madrid akishangilia...

 

                                  Barcelona 6 V Granada 0

Neymar Dos Santos na vibweka vya ushindi wa bao 6

 

                                            Serial ‘A’-Italy

  

                                 Atalanta 0 V Juventus 3

Carlos Tevez na nyonyo ya mtoto mdomoni ndani ya ushindi wa Juve.. 

 

AS Roma 2 V Hellas 0

 

                                EPL-J’PILI-28/09/2014

West Brom V Burnley - The Hawthorns

 

                                   EPL-J’3-29/09/2014



Stoke City V Newcastle United -Britania Stadium

No comments: