Baloteli na Liverpool yake bado ni kimbembe; yanyonyolewa na Newcastle... Chelsea na Arsenal zashinda. LA LIGA... Barcelona yanyukwa nyumbani... Real Madrid na Atletico Madrid zapeta kwa ushindi mnono... ITALIA...Juve yawasha moto...
J’MOSI-01/11/2014
Newcastle United 1 V Liverpool 0-St. James Park
Arsenal 3 V Burnley 0-Emirates stadium
Chelsea2 V QPR 1-Stamford
Bridge
Everton 0 V Swansea 0-Goodison Park
Hull City 0 VSouthampton 1-The KC Stadium
Leicester City 0 V West
Brom 1-King Power Stadium
Stoke City 2 V
Westham United 2-Britania Stadium
Danny Welbeck akimsindikiza mwenzake Sanchez katika ushindi mnono wa bao 3 kwa Arsenal
Cesc Fabrigas akijiandaa ku mkumbatia Oscar, Chelsea ikishinda 2-1
Super Mario Baloteli, mkono kiunoni, mkono machoni; Yaani ni machungu matupu, Liverpool ikilala 1-0
La
LiGa-Spain
Granada 0 V Real Madrid
4
Barcelona 0V Celta Vigo 1
Atletico Madrid 4 V Cordoba
2
James Rodriguez akishangilia bao lake wakati Real Madrid ikichanua ugenini kwa bao 4-0
Shughuli ni watu, na watu ndio sisi. Beki wa Celta Vigo akimdhibiti vilivyo Lionel Messi wakati Barcelona ikipata kichapo cha nyumbani 0-1
No comments:
Post a Comment