ARUSHA-NI MATENGENEZO NA UKARABATI TU WA MITAA NA BARABARA KWA KWENDA MBELE!

Kokoto inasubiri kusambazwa. Ni maeneo ya soko kuu. Hii ni mojawapo ya barabara ambazo kwa kawaida huwa na msongamano mkubwa wa watu na hata wa magari. Panafahamika zaidi kama OTTU, kutokana na kuwepo kwa jengo la makao makuu ya chama cha wafanyakazi.   


No comments: