HAPA NAPO!

Mwanafunzi, Khadija Saidi Kivuyo wa Njiro-Tsunami akipongezwa na mwanafamilia wake, Mama Saadi (mwenye mtandio wa pinki)


Utamu wa zawadi huo! Kicheko hadi jino la mwisho.

Tulia nikuvalishe vizuri taji, wewe. Acha ubishi. Ukifanya mchezo narudi nyumbani na zawadi zangu zote! Au  unabisha?


Hapa, Khadija Saidi Kivuyo akiwa na mmoja wa wahitimu wenzake na mdogo wao katika poooozi la kiblog.



No comments: