Ni bangili, au? Ni biskuti tu. Ni mambo ya kujitafunia tartiiiiiiibu |
Hawa siyo wadudu, wakwetu! Ni pipi kijiti hizo. Utamu wa pipi ni mate yako tu. |
Hiki nacho ni nini tena! Mbona ni kama jongoo! Ni vijimambo tu vya marembo! Ni tende zimepangwa vizuri na kuandika herufi 'S' |
Mandazi mezani! Yaani ni wewe tu na ufundi wako wa kula. Tumbo lako linayo nafasi ya kutosha ya kuyahifadhi yote haya? |
No comments:
Post a Comment