| Dada, jamani! Miye bado sijajua kutembea vizuri kama wewe! Ndio kwanza sasa nimeanza kujifunza. nishike vizuri nisije nikaanguka. | 
| Umeiona keki yangu ya kutimiza mwaka mmoja niliyotengenezewa na bibi yangu jinsi ilivyopendeza, dodii! Ni tamu hiyo. Nikuonjeshe kidogo? | 
 
No comments:
Post a Comment