Duh!
Usafiri wa leo mbona iko kazi. Tutafanikiwa kweli kupata usafiri? Hawa
maswahiba niliwafuma mchana katika eneo hili la kwa Mromboo, nao wakisubiri
kupata usafiri wa kuwapeleka mji mdogo wa Terrat, wilayani Simanjiro Mkoa wa
Manyara; wastani wa kama km 80 hivi kutoka Mji wa Arusha. Mwenye kijiti mdomoni
ni Thomas Fabian 'Sikuu', mwenye fulana ya rangi nyekundu katikati ni Haruna
Idd 'Baba Karim', na pembeni mwenye jaketi la rangi nyeusi ni Yasini Juma
'Rupia'. |
No comments:
Post a Comment