Wee mama! Hebu jitahidi upande haraka ili na sisi tupate nafasi ya kupanda. Wewe hauoni kama wengine tumebeba watoto wadogo mgongoni. Changamka! Kama umeshindwa kupanda, omba msaada usaidiwe. Mambo ya safari zetu hayo! Lori la kusomba mchanga likiwa limeegeshwa Kwa Mromboo, tayari kwa safari ya kuelekea Mirongoine kuchukua mchanga na kuuleta mjini Arusha kwa ajili ya ujenzi wa majumba na shughuli nyingine.
|
No comments:
Post a Comment