MGENI RASMI ALIPOFIKA, AKAKARIBISHWA MOJA KWA MOJA KWENYE UWANJA WA MPIRA WA MIGUU.
Bw. Hans Tosk (mwenye kilemba katikati) ambaye ni mkurugenzi
wa kampuni ya bidhaa za mbao ya Fibreboard(Faivabod) ya mjini Arusha, ndiye
aliyekuwa mgeni rasmi wa maafali haya. Kulia kwake, ni mkurugenzi na mlezi wa
shule za Nalopa Mh. Daniel ole Njoolay. Na aliyevaa shati jeusi kushoto kwa
mgeni rasmi ni diwani wa kata ya Engutoto, mjini Arusha, Mh. Elibariki Maley.
Hapa wako tayari kabisa kushudia ukaribisho kutoka kwa watoto.
No comments:
Post a Comment