MAMBO YA WACHINA.

Hapa wamemwaga kwanza kifusi cha nguvu, kabla ya mambo mengine hayajaendelea. Huu ni mtaa uliopo baina ya ukuta wa uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid na jengo la CCM mkoa wa Arusha. Hii nayo ni miongoni mwa barabara, ambazo kwa miaka mingi, zimekuwa ni kero isiyokuwa na mfano, kutokana na ubovu wake.


No comments: