YAANI PAMEENYOOKA, MPAKA RAHA!

Unaona jinsi kitu kilivyonyooshwa hiki! Yaani ni gia namba 5 au namba 6 tu. Hakuna kurudi chini. Njiro kontena hiyo-Arusha; maandalizi ya mwishomwisho kabla ya lami kuwekwa rasmi. Ila kumbuka, dereva unaponogewa na utamu wa mbio kwenye barabara nzuri kama hii, basi usisahau ajali ya ghafla nayo iko jirani yako. Jichungie mwenyewe usalama wako!   


No comments: