ARUSHA; KUMEKUCHA!
HATIMAYE Mbunge machachari wa jimbo la Arusha kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Tanzania, Godbless Lema, ambaye alivuliwa ubunge na mahakama, ameshinda RUFANI yake aliyoikata dhidi ya hukumu hiyo, na kuanzia leo tarehe 21/12/2012 amerejea ramsi mzigoni.
Akiwa jukwaani katika moja ya makamuzi yake.
Hapa (akitabasamu ndani ya kombati la chama) kulia kabisa, akiongoza mojawapo ya maandamano ya 'Peeeeeoples Power'
Msafara wa wana-'Peeeeeoples Power' kusherehekea.
No comments:
Post a Comment