NIKO SAFARINI; ARUSHA-DAR.

Wakwetu, hizi ni za Moshi mjini. Nilipita kwa kasi mno na basi nililosafiria kwa safari yangu ya Arusha-dar.  Basi linakimbia kwelikweli, na Mpini Wa Shoka nao ukawa na kazi ya kuokoteza hapa na pale...  

Mojawapo ya mizunguko (keepleft) ya magari Moshi mjini. Huu ni ule uliopo jirani kabisa na stendi kuu ya mabasi; Au jirani na ofisi za chama kikuu cha ushirika-K.N.C.U (Kilimanjaro Native &Co-operative Union).





Relwe (Railway) pamoja na nyumba za wafanyakazi wake.





Unasemaje juu ya jengo hili na maelezo yake! Yanaendana?

 

No comments: