MAISHA NDIVYO YALIVYO, MWAKWETU....! KWA UPANDE WAKO, HUU UNAWEZA UKAWA NI UCHAFU AMBAO UNATAKIWA HATA UCHOMWE MOTO KWA HARAKA SANA; LAKINI KWA MTU MWINGINE, HAPA ANAONA KUNA 'BIDHAA' KIBAO "ZINAZOFAA' KABISA KUCHAMBULIWA NA KUWEKWA VIZURI KWA AJILI YA MATUMIZI MENGINE...!
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment