VODACOM PREMIER LEAGUE(TANZANIA).. Yanga yazibuliwa... Simba wazee sare; heri lawama kuliko fedheha... Azam; ngoma ya kitoto haikeshi, yachapwa tena...
J’MOSI-01/11/2014
Stendi United 1 V Tanzania Prisons 1-Kambarage, Shinyanga
Kagera Sugar 1 V Young Africans 0-Kaitaba, Bukoba
Ndanda 1 V Azam 0-Nangwanda Sijaona, Mtwara
Coastal Union 1 V Ruvu Shooting 0-Mkwakwani, Tanga
Ruvu Stars 1 V Polisi Moro 2
Mtibwa Sugar 1 V Simba 1-MorogoroJ’PILI-02/11/2014
Mgambo JKT 0 V Mbeya City 0 -Mkwakwani, Tanga
Man 'U' na chelsea hakuna m'babe
VODACOM PREMIER LEAGUE(TANZANIA)...Ni Dar Yanga; Yaivuruga vilivyo Stendi United nyumbani... Simba Mmmh! Chupuchupu Mbeya... Leo ni Mbeya City Vs Mtibwa; kazi ipo... Azam yanyukwa nyumbani...
J’MOSI-25/10/2014
Stendi United 0 V Young Africans 3-Kambarage
Ndanda 0 V JKT Mgambo 1-Nangwanda Sijaona
Azam 0 V Ruvu Stars 1
Kagera Sugar 1 V Coastal Union 1-Kaitaba
Ruvu Shooting 1 V Polisi Moro 0
Tanzania Prisons 1 V Simba 1-Mbeya
J’PILI-26/10/2014
Mbeya City V Mtibwa V -MorogoroReal Madrid yaikung'uta bila huruma Barcelona... Man City yazabwa.... Arsenal yang'ara... Liverpool bado hakijaanza kueleweka.... Leo ndio leo Jumapili; Old Trafford kuwaka moto ... ni Man U Vs Chelsea!
J’MOSI-25/10/2014
Liverpool 0 V Hull City 0
Southampton 1 V Stoke City 0
Sunderland 0 V Arsenal 2
West Brom 2 V Crystal Palace 2
Swansea 2 V Leicester City 0
Westham United 2 V Man City 1
La LiGa-Spain
Real Madrid 3 V Barcelona 1
Vidole juu; ushindi mtamu mwanawane. Christiano Ronaldo wa Real Madrid Madrid akishangilia bao lake wakati timu yake ikiibuka m'babe wa Le Classico kwa 3-1 ya La Liga dhidi ya Barcelona ya Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar Dos Santos. Magoli mengine yalifungwa na Kareem Benzema na Pepe.
J’PILI-26/10/2014
Man United V Chelsea
Burnley V Everton
T.Spurs V Newcastle United
Arsenal yachomoza na ushindi wa ugenini... Liverpool ni majanga matupu kwenye uwanja wake wa nyumbani... Atletico Madrid na Borusia Dortumund nazo zapiga dozi za kutosha...
J’5-22/10/2014
FC Monaco 0 V Benfica 0
Olympiacos 1 V Juventus 0
Anderlecht 1 V Arsenal 2
Bayer Leverkusen 2 V Zenit St. Petersburg 0
Ludogorets 1 V FC Basel 0
Atletico Madrid 5 V Malmo FF 0
Liverpool 0 V Real Madrid 3
Galatasaray 0 V Borussia Dortmund 4
Najar wa Anderetch akishangilia bao lake la mapema dhidi ya Arsenal...
Vijana wa Arsener Wenger, Aaron Ramsey na Danny Welbeck wakipongezana baada ya kutoka nyuma na kushinda ugenini 1-2
Liver 0 Vs Real Madrid 3. Wachezaji wa Liverpool wakimkodolea macho Christiano Ronaldo akishangilia bao lake
Atletico Madrid ni moto...
Mkongwe Didier Drogba aongoza ushindi mnono wa vijana wa Mourinho... Bayern yapiga 7UP ugenini... Barcelona nayo yashinda... Kivumbi sasa ni Anfield; Majogoo wa jiji wataumudu 'muziki' wa Real Madrid ya Christiano Ronaldo?
J’4 -21/10/2014
FC Porto 2 V Athletic Bilbao 1
APOEL Nicosia 0 V Paris St. German (PSG) 1
Schalke 4 V Sporting Lisbon 3
BATE Borisov 0 V Shakhtar Donetsk 7
Barcelona 3 V Ajax Amsterdam 1
CSKA Moscow 2 V Man City 2
Chelsea 6 V Maribor 0
As Roma 1 V Bayern Munich 7
Mkongwe Didier Drogba akishangilia bao katika ushindi mnono wa bao 6-0
Wachezaji wa Bayern Munich wakigongeana mikono katika mojawapo ya mabao yao 7 waliyoshinda ugenini mjini Roma walipoivurumisha mojawapo ya timu kongwe na kubwa barani ulaya, AS Roma ya Uitaliano...
The Super star Lionel Messi akishangilia ushindi wa Barca
J’5 -22/10/2014
Monaco V Benfica
Olympiacos V Juventus
Anderlecht V Arsenal
Bayer Leverkusen V Zenit
Ludogorets V FC Basel
Atletico Madrid V Malmo FF
Liverpool V Real Madrid
Galatasaray V Borussia Dortmund
Yaani Man 'U' chupuchupu nyumbani kwa West Brom...
UINGEREZA (PREMIER LEAGUE) ...Chupuchupu Wenger na Mourinho watwangane wakati Chelsea ilipoitia adabu Arsenal... Man United yamfumua mtu... LA LiGa..Real Madrid yakong'ota mtu 5... SERIAL 'A'...Juve na Fiorentina zashinda...
J’Pili-05/10/2014
Man United 2 V Everton 1-Old Trafford
Chelsea 2 V Arsenal 0-Stamford Bridge
T.Spurs 1 V Southampton 0- White Hart Lane
Westham United 2 V QPR 0-Boleyn Ground
POS
|
CLUB
|
P
|
W
|
D
|
L
|
GF
|
GA
|
GD
|
PTS
|
||
1
|
![]() |
Chelsea
|
7
|
6
|
1
|
0
|
21
|
7
|
14
|
19
|
|
2
|
![]() |
Manchester City
|
7
|
4
|
2
|
1
|
14
|
7
|
7
|
14
|
|
3
|
![]() |
Southampton
|
7
|
4
|
1
|
2
|
11
|
5
|
6
|
13
|
|
4
|
![]() |
Manchester United
|
7
|
3
|
2
|
2
|
13
|
10
|
3
|
11
|
|
5
|
![]() |
Swansea City
|
7
|
3
|
2
|
2
|
10
|
8
|
2
|
11
|
|
6
|
![]() |
Tottenham Hotspur
|
7
|
3
|
2
|
2
|
9
|
7
|
2
|
11
|
|
7
|
![]() |
West Ham United
|
7
|
3
|
1
|
3
|
12
|
10
|
2
|
10
|
Mshambuliaji Eden Hazard akiipachikia timu yake ya Chelsea bao la kwanza dhidi ya Arsenal..
Ilibakia kidogo tu mameneja hawa wawili maarufu, Arsenal Wenger na Jose Mourinho, watwangane makofi wakati timu zao zilipokuwa zikipambana, na Chelsea kuibuka na ushindi mnono wa 2-0
Angela Di Maria akijipongeza kwa bao lake safi lililouanzisha ushindi wa 2-1 kwa timu yake ya Man 'U'
La LiGa-Spain
Real Madrid 5 V Atletico Bilbao 0
Espanyol 2 V Real Sociedad 0
Celta Vigo 1 V Villarreal 3
Sevilla 4 V Deportivo La Coruna 1
Serial ‘A’-Italy
Juventus 3 V AS Roma 2
Fiorentina 3 V Inter Milan 0
LIGI KUU TANZANIA BARA... Yanga yaivuruga Ruvu Stars.. Mtibwa yaendelea kujikusanyia pointi muhimu...
Subscribe to:
Posts (Atom)