Emanuel Okwi aleta ahueni SIMBA; yashinda 1-0. ...Ndanda FC yaendelea kujulishwa kwamba hii ndio LIGI KUU; yadundwa 2-0......Arsene Wenger anyukwa...




                  J’2-09/11/2014

Simba 1 V Ruvu Shooting 0-Taifa (Dar)

Ruvu Stars 2 V Ndanda 0-Chamazi (Dar)


Mtibwa Sugar 1 V Kagera Sugar 1-Manungu, Morogoro






              J’PILI-09/11/2014


Sunderland 1 V Everton 1-Stadium of Light

T.Spurs 1 V Stoke City 2-White Hart Lane

West Brom 0 V Newcastle United 2-The Hawthorns

                      
Swansea  2 V Arsenal 1-Liberty Stadium


 Pole sana bana kuba! Nimekunyuka. Meneja wa timu ya Swansea Garry Monk akinyoosha mkono kumpa meneja wa Arsenal, Arsene Wenger, baada ya kumalizika kwa pambano kwenye uwanja wa Liberty... angalia mjomba, huyu ndiye Arsene Wenger! angalia asije akakufanyizia kama alivyomfanyizia Jose Mourinho, ohooo, weee shauri yako... 

No comments: