VPL(TANZANIA)-Mbeya City kulikoni mwaka huu..? Yashughulikiwa na wanaStendi kwenye uwanja wa Kambarage.. Yanga yawahenyesha kwa kwata zito Mgambo JKT; Yaikamua 2-0 ...Azama yang'ara Chamazi. Mvua yavunja mechi ya Mtibwa Vs Kagera-Manungu. Wekundu wa Msimbazi wako Taifa leo




                  J’MOSI’-08/11/2014

Stendi United 1 V Mbeya City 0-Kambarage, Shinyanga

Young Africans 2 V Mgambo JKT 0-Taifa (Dar)

Mtibwa Sugar 1 V Kagera Sugar 0-Manungu, Morogoro (mechi imevunjika kwa mvua)

Azam 2 V Coastal Union 1-Chamazi (Dar)

Polisi Moro 1 V Tanzania Prisons 0-Morogoro

 

                  J’2-09/11/2014

Simba V Ruvu Shooting-Taifa (Dar)

Ruvu Stars V Ndanda-Chamazi (Dar)


No comments: