ORCHOROVUS

Ni kijiji kilichopo ndani ya Wilaya ya Arusha Vijijini. Mpini wa Shoka umekifikia na haya ndio mambo yake machache tu...

Hizi ni baadhi ya nyumba za asili za wakazi wa kijiji hiki. Siku hii palikuwa na hali ya ukungu mwingi. 




Hii ndio ofisi mpya ya kijiji inayoendelea kujengwa.




Ofisi ya zamani ya kijiji kama inavyoonekana ambayo inapakana jirani tu na jengo jipya la ofisi (picha ya juu)

 

 

Moja ya mashamba ya wananchi wa kijiji hiki





Shule ya Msingi Olchorovus




Nyumba za walimu wa shule ya Msingi




No comments: