SAMBASHA-ARUSHA VIJIJINI

Ni kijiji kulichopo juu kabisa Mlima Meru.....

Hii ni Zahanati ya kijiji




Ofisi ya kijiji, jirani kabisa na Zahanati ya kijiji.



Ubao wa matangazo mbalimbali pembezoni mwa ofisi ya kijiji




Mojawapo ya mashamba ya mahindi ya wanakijiji




Shamba la migomba na msitu wa miti ya kupanda. Karibu Sambasha

No comments: