ACHA MASIHARA WEWE! HATA MIMI PIA NAJUA KUPIGA VITU KWA MRIJA!


Binti Sumaiyah akiwa ametulia kwenye kiti cha chuma alichonunuliwa na mama yake, akipata tartiiiiiiiibu kitu roho inapenda.

 

Kisha baada ya kupiga vitu kwa mrija, anajitupa kwenye zoezi la kujifunza kuendesha baiskeli. Miguu yake yenyewe bado ni mifupi, hata haifiki kabisa kwenye pedeli! Hapa anajifunza kweli huyu binti!  

No comments: