KIZAZI CHA DIJITALI! HAIJALISHI UMRI WAKE, WALA KILE ANACHOKIZUNGUMZA! CHA MSINGI HAPA NI KUWASILIANA TU KWA KWENDA MBELE!


"Halooooooo!" Kwa mtazamo wako, wewe unahisi kwa umri huu alionao huyu, lugha anayoitumia kwenye simu hii aliyoikamatia vema sikioni pake atakuwa anaelewana vema kweli na huyo anayeongea naye? Na tena anaonekana ni mwenye bashasha la nguvu. Anaitwa Sumaiyah wa Arusha na kikombe chake cha uji pembeni.



No comments: