...MOJAWAPO YA KAZI ZILIZOKUWA ZIMENIBANA VILIVYO. NILIAMUA 'kujipinda' KISAWASAWA ILI KUHAKIKISHA NAKAMILISHA UTUNZI PAMOJA NA MAREKEBISHO YOTE MUHIMU YA KITABU HIKI MARIDADI CHA RIWAYA YA KUSISIMUA. APENDAPO MWENYEZI MUNGU, NAAMINI KITAKUWA MIONGONI MWA VITABU BORA VYA RIWAYA, AMBACHO HAUTOTAKA KAMWE KUKIKOSA... KIWE KWA SURA HII INAYOONEKANA HAPA AU KWA SURA NYINGINE BAADA YA KUFANIKIWA KUCHAPWA, WEWE KAA TU MKAO WA KUKIDAKA. NI KAZI HALISI YA mpini wa shoka.
Subira huvuta heri... Harakaharaka hujawa na majanga...
No comments:
Post a Comment