JINA LAKE LINASOMEKA VEMA KABISA.... Ni Ndani Ya Bandari salama, 'Bongo Darusalaam'.





Nilijitahidi kuvuta kwa karibu; hapa ni stendi ya eneo hili, na biashara ya vitanda vya chuma kama kawaida.




Watu kibao, stendi kuu ya Gongolambali...Ouh! Sorry, Jo. Ni Gongolamboto. Ni njia pia ya kuelekea pande za Chanika




Kwa wale wa kahawa kwa kashata za karanga au za nazi, hata hapa Gongolamboto tunauza; karibu ya yakhe, karibu tupate 'gahawa' weye..

No comments: