UNAYAONA MAMBO YA SUTI HAYA? HATARI..!


 

Anaitwa Juma a.k.a Rido 'baba Suma' wa Arusha town. Unaionaje hii Suti; imemtoa bomba kama meneja ama bosi wa kampuni gani vile kubwa unayoijua?




Hapa amejiachia vilivyo kwa tabasamu la kutosha. Aisee, sometimes kumbe suti nayo ni dili bab kubwa...  

No comments: