Mambo ya Mipango Ni Popote tu, Ilimradi Muelewane; Na Mpango Wenyewe Uende Vema Kama Mnavyoupangilia..!



   

Jicho la Mpini Wa Shoka liliwanasa 'maswahiba' hawa wanne wakiwa wamepozi baada ya michachariko ya hapa na pale ya mchana kutwa. Walipoliona jicho langu, baadhi yao waliamsha wazimu wakijificha eti 'hawataki' wanaswe! Kutoka kulia, Ni Juma (anayeandika) akijadiliana jambo fulani na Bwana Mkwizu. Mambo ya mipango hayo. Wanaojaribu kujificha ni Mustafa 'Musty' (mwenye shati jeusi) na mwenzake, Bwana Togo! Hapa ni ndani ya mtaa wa Jamhuri; Arusha Town...    





No comments: