SEMINA JUU YA MASUALA YA AFYA NA JINSIA. Kituo Cha tiba mbadala cha BF Suma tawi la Arusha kilikuwa katika ziara ndefu ya Kigoma hadi Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kusambaza elimu juu ya mambo ya afya. Ziara hiyo ilifanyika kati ya tarehe 17 na 18/05/2014. Maeneo ambayo BF Suma walifanikiwa kuyafikia katika mzunguko huo ni pamoja na Kasulu, Kibondo, Sengerema, Kahama, Geita na Mwanza.
Hapa ni nje ya ofisi za shirika la wakimbizi UNHCR, Nyarugusu-Kasulu Kigoma
Baadhi ya washiriki waliobahatika kuhudhuria mojawapo ya semina hizo.
(Picha zote: Kwa hisani ya BF Suma)
No comments:
Post a Comment