KIPYENGA KIMEPULIZWA..! KIVUMBI DIMBANI..! LIGI KUU NCHINI UINGEREZA..! MAMBO YAMEANZA..! Muda unaoonekana, ni kwa majira ya Uingereza...
LEO; J'MOSI-16'Aug-2014
... Ivanovic wa Chelsea akifyatua kombora kali na kufunga huku Yaya Toure wa Man City akijaribu kukwepa, katika mojawapo ya mechi kali kabisa za msimu uliopita ambapo Man City waliibuka kuwa mabingwa wa Ligi. je, msimu huu mpya ni nani atakayelitwaa kombe? Au Man City watathubutu tena na kuendeleza ubabe?
No comments:
Post a Comment