MWAMBA ATEMA CHECHE...! ASEMA ANAYETAKA DUNIA INUKE, BASI NA AANZISHE AYAONE MAMBO YA RUSSIA..!



Rais wa Urusi, Vladmir Puttin, ameyatahadharisha mataifa ya Ulaya pamoja na Marekani kwamba, wakithubutu 'kuijaribu' nchi yake kivita, basi yeye atafanya kweli. Na kuyakumbusha mataifa hayo yasisahau Urusi ni mojawapo ya mataifa yenye teknolojia kubwa ya silaha za kinyuklia; kwa hivyo 'wakilianzisha' tu, yeye 'atamalizia

Mbona hatari, wakwetu...!

No comments: