LIVERPOOL YAPIGA UGENINI. Super Mario BALOTELI NDANI YA 'nyumba'... WENGER NA 'watoto' WAKE BADO NI MWENDO WA KUCHECHEMEA..! SPAIN; REAL MADRID 'yanyonyolewa' BILA MAJI... BARCELONA 'yapiga' MTU UGENINI....



                                      English Premier League

                      J’PILI-31/08/2014- English Premier League

AstonVilla 2 v Hull City 1

Leicester 1 V Arsenal 1


                                             Tottenham 0 V Liverpool 3

 Nahodha wa Liverpool, Steven Gerrard (jezi namba 8) akizungumza jambo na mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Mario Balotelli, huku wachezaji wenzao wakipongezana baada ya kufunga mojawapo ya magoli 3 waliyoichabanga timu ya Tottenham hotspurs ya Emmanuel Adebayo

 

                                      La LiGa-Spain


Real Sociedad 4 V Real Madrid 2

Deportivo La Coruna 2 V Rayo Vallecano 2

                                        Villa real 0 V Barcelona 1

 Pedro Rodrigues wa Barcelona kulia, akifumua kombora la mguu wa kushoto kuelekea langoni huku akizongwa kwa karibu na mlinzi wa Villa Real

 

                                  Serial ‘A’-Italy

Genoa 1 v Napoli 2

AS Roma 2 V Fiorentina 0

Chievo 0 V Juventus 1

                                            AC Milan 3 V Lazio 1

 

Wachezaji wa AC Milan Honda, El Shaarawy na Menes wakipongezana kwa kupata bao

                 

No comments: