AISEE! NIMEGUNDUA KUMBE WENGI WETU TUNAYAONA MATUNDA NA MAZAO MBALIMBALI YAKIUZWA MASOKONI NA MITAANI, LAKINI MIMEA (MITI) YA MATUNDA AU MAZAO HAYO HATUIJUI KAMWE ILIVYO..! BASI, HAKUNA TABU! SIKU MOJA MOJA Mpini Wa Shoka UTAKUWA UKIKUJULISHA AINA TOFAUTI ZA MIMEA (MITI) YA MATUNDA NA MAZAO MBALIMBALI.... Na kwa kuanzia, leo nakujuza huu...


..kama unalifahamu vema tunda la pasheni (passion), basi huu ndio mmea unaolizaa tunda hilo; unaitwa m'pasheni (passion tree). Asili yake ni mmea unaotambaa mfano wa m'zabibu. Kwa hivyo, ili uweze kustawi vema na kuzaa matunda mazuri, unahitaji kuwekewa kamba na miti ili utambae kila mahali kwa raha zake.. 

No comments: