English Premier League... Diego Costa na Chelsea yake wazidi kuwasha moto...Liverpool yanyukwa nyumbani...Arsenal chupuchupu kwenye uwanja wake mbele ya mabingwa watetezi, Man City,...
J’MOSI-13/09/2014
Arsenal 2 V Manchester
City 2
Crystal Palace
0 V Burnley FC 0
Southampton 4 V Newcastle
0
Leicester 0 V Stoke City 1
West Brom 0 V Everton 2
AstonVilla 1 V Liverpool 0
Chelsea 4 V
Swanwea 2
Vidole juu; shangwe ya ushindi. Diego Costa akishangilia moja ya mabao yake matatu aliyoyatupia 'kambani' dhidi ya Swansea
J’PILI-14/09/2014
Manchester United V QPR
J’3 -15/09/2014
Hull
City V West Ham
No comments:
Post a Comment