KUNA WANAOSEMA eti USHINDI WA MAN 'U' ni kama kujiokotea pochi ya mwendawazimu jalalani..! Miye Simo..


Angel Di Maria akijumuika na wenzake wakati walipokuwa wakimpongeza Wayne Rooney alipozitikisa nyavu za QPR. Man 'U' ilipiga 4-0. Ndio kazi ya ushindi imeanza rasmi, au ndio mambo ya pochi la mwendawazimu..?

 

 

Hull City 2 V West Ham 2

 

 

No comments: