UEFA Champions...Chelsea yapiga ugenini... Man City mambo bado; yashindwa kutamba nyumbani... Barcelona yanyonyolewa ugenini.... LEO, Arsenal iko nyumbani dhidi ya waturuki... BIG MATCH; Atletico Madrid VS Juve....



                          J’4 -30/09/2014

Shakhtar Donetsk 2 V FC Porto 2

APOEL Nicosia 1 V Ajax Amsterdam 1

Schalke 1 V Maribor 1

BATE Borisov 2 V Athletic Bilbao 1

Sporting Lisbon 0 V Chelsea 1

Man City 1 V As Roma 1

Paris St. German (PSG) 3 V Barcelona 2

CSKA Moscow 0 V Bayern Munich 1

Chelsea Hureeeeee... Bao safi la Nemanja Matic aliyeshika kichwa lawapa ushindi ugenini...

  



PSG wakipongezana wakiongozwa na David Luis aliyeinua mikono juu. Ushindi mnono dhidi ya Barcelona ya Messi na Neymar

 

                                      J’5 -01/10/2014

Zenit V Monaco

FC Basel V Liverpool

Anderlecht V Borussia Dortmund

Bayer Leverkusen V Benfica

Malmo FF V Olympiacos

Atletico Madrid V Juventus

Ludogorets V Real Madrid

Arsenal V Galatasaray

No comments: