LIGI YA MABINGWA-ULAYA... Arsenal 'Yaua'... Liverpool 'yabonyezwa' ugenini... BIG MATCH; Atletico Madrid yaishughulikia Juve... Real Madrid ni utamu kunoga...


                                      J’5 -01/10/2014

Zenit 0 V Monaco 0

FC Basel 1 V Liverpool 0

Anderlecht 0 V Borussia Dortmund 3

Bayer Leverkusen 3 V Benfica 1

Malmo FF 2 V Olympiacos 0

Atletico Madrid 1 V Juventus 0

Ludogorets 1 V Real Madrid 2

Arsenal 4 V Galatasaray 1

Danny Welbeck akishangilia baada ya kupachika bao katika ushindi wa Arsenal..  




Twende kati...Wachezaji wa Livepool, nahodha Steven Gerrad na Mario Baloteli, wakiongozana na wenzao kwa unyonge mwingi baada ya kupachikwa bao na timu ya FC Basel  




Christiano Ronaldo akishangilia kwa kishindo baada ya kupachika bao. Mshambuliaji mwenzake, Gareth Bale akimsogelea kumpongeza katika ushindi wa ugenini wa Real Madrid..

No comments: