Mkongwe Didier Drogba aongoza ushindi mnono wa vijana wa Mourinho... Bayern yapiga 7UP ugenini... Barcelona nayo yashinda... Kivumbi sasa ni Anfield; Majogoo wa jiji wataumudu 'muziki' wa Real Madrid ya Christiano Ronaldo?
J’4 -21/10/2014
FC Porto 2 V
Athletic Bilbao
1
APOEL Nicosia
0V Paris St.
German (PSG) 1
Schalke 4V Sporting
Lisbon 3
BATE Borisov 0V
Shakhtar Donetsk 7
Barcelona 3 V Ajax Amsterdam 1
CSKA Moscow 2 V Man
City 2
Chelsea 6V Maribor
0
As Roma 1 V Bayern
Munich 7
Mkongwe Didier Drogba akishangilia bao katika ushindi mnono wa bao 6-0
Wachezaji wa Bayern Munich wakigongeana mikono katika mojawapo ya mabao yao 7 waliyoshinda ugenini mjini Roma walipoivurumisha mojawapo ya timu kongwe na kubwa barani ulaya, AS Roma ya Uitaliano...
The Super star Lionel Messi akishangilia ushindi wa Barca
No comments:
Post a Comment