Arsenal yachomoza na ushindi wa ugenini... Liverpool ni majanga matupu kwenye uwanja wake wa nyumbani... Atletico Madrid na Borusia Dortumund nazo zapiga dozi za kutosha...
J’5-22/10/2014
FC Monaco 0 V Benfica
0
Olympiacos 1 V
Juventus 0
Anderlecht 1 V Arsenal 2
Bayer Leverkusen
2 V Zenit St. Petersburg
0
Ludogorets 1 V
FC Basel 0
Atletico Madrid 5 V Malmo FF 0
Liverpool 0 V
Real Madrid 3
Galatasaray 0 V
Borussia Dortmund 4
Najar wa Anderetch akishangilia bao lake la mapema dhidi ya Arsenal...
Vijana wa Arsener Wenger, Aaron Ramsey na Danny Welbeck wakipongezana baada ya kutoka nyuma na kushinda ugenini 1-2
Liver 0 Vs Real Madrid 3. Wachezaji wa Liverpool wakimkodolea macho Christiano Ronaldo akishangilia bao lake
Atletico Madrid ni moto...
No comments:
Post a Comment