Real Madrid yaikung'uta bila huruma Barcelona... Man City yazabwa.... Arsenal yang'ara... Liverpool bado hakijaanza kueleweka.... Leo ndio leo Jumapili; Old Trafford kuwaka moto ... ni Man U Vs Chelsea!
J’MOSI-25/10/2014
Liverpool 0 V
Hull City 0
Southampton 1 V Stoke City 0
Sunderland 0 V Arsenal 2
West Brom 2 V
Crystal Palace 2
Swansea 2 V Leicester
City 0
Westham United 2 V
Man City 1
Sarakasi, au! The Super Mario Baloteli wa Liverpool akibiringika dhidi ya Hull City. Ama kweli, shughuli ni watu...
La LiGa-Spain
Real Madrid 3 V Barcelona
1
Vidole juu; ushindi mtamu mwanawane. Christiano Ronaldo wa Real Madrid Madrid akishangilia bao lake wakati timu yake ikiibuka m'babe wa Le Classico kwa 3-1 ya La Liga dhidi ya Barcelona ya Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar Dos Santos. Magoli mengine yalifungwa na Kareem Benzema na Pepe.
J’PILI-26/10/2014
Man United V Chelsea
Burnley V Everton
T.Spurs V Newcastle United
No comments:
Post a Comment